Mganga Mkuu Rukwa atoa elimu ya kina ya Kipindupindu


Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasululu ametoa elimu ya kina juu ya uzambazwaji wa ugonjwa hatari wa kipindupindu ulioua na kuathiri zaidi ya watu 500 ndani ya kipindi cha miezi sita.


Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika kambi ya Nankanga Bonde la Ziwa Rukwa.

Comments