Sumbawanga yapokea madawati 60 kutoka Tanesco

Halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga imepokea madawati 60 yenye thamani ya shilingi Milioni 4.4 kutoka Tanesco kupitia Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule katika makabidhiano yaliyofanyika shule ya Msingi Majengo.


Comments