"Mwenge na Nanenane zimo kwenye Bajeti ya Halmashauri" - Hamid Njovu


Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu, akifafanua swali la papo kwa hapo aliloulizwa na diwani wa kata ya Msua. Mh. Vitalius Ulaya kuhusu bajeti ya Mwenge na sikukuu nyingine za kiserikali zinavyopatikana na kutumiwa.
 Swali hilo liliulizwa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Mkurugenzi wa Manispaa wakati wa baraza la madiwani wa Manispaa ya Sumbawanga lililofanyika leo 06/09/2016.

Comments