Madiwani Manispaa ya Sumbawanga Waagiza watumishi wa3 wa ardhi wahamishwe Halmashauri.

Baraza la madiwani la Manispaa ya Sumbawanga limetoa maagizo ya kuhamishwa kwa watumishi watatu wa Idara ya Ardhi ili kuepusha migogoro mingi zaid kwa wananchi.

Comments