114 wakamatwa usafi wa mwisho wa mwezi wa 8


Halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga imewakamata wakazi 114 waliokaidi kufanya usafi wa jumamosi ya mwisho wa mwezi wa 8 na kuwatoza faini iliyofikia shilingi milioni 4.3.

Comments