Mwenge ulipozindua barabara ya Mandela - Sumbawanga.

Mh. Juma Mussa Diwani wa Kata ya Mazwi ambapo mradi wa ujenzi wa barabara kiwango cha Lami Km 2 kutoka Posta - NMC - Mandela upo ndani ya kata hiyo akiushukuru Mwenge wa Uhuru kwa Kupita kuzindua mradi huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 702.6 Mbele ya Kiongozi wa mbio za Mwenge George Mbijima na Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule.

kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijima (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule (kushoto) na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Sumbawanga Mh. Justin Malisawa wakiteta kabla ya uzinduzi wa  mradi wa ujenzi wa barabara kiwango cha Lami Km 2 kutoka Posta - NMC - Mandela

Kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijima wakati alipokuwa akizindua mradi wa ujenzi wa barabara kiwango cha Lami Km 2 kutoka Posta - NMC - Mandela

Justus Athanas akisoma risala mbele ya kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijima (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizindua mradi wa ujenzi wa barabara kiwango cha Lami Km 2 kutoka Posta - NMC - Mandela

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga akiwa amesimama na wananchi wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara kiwango cha Lami Km 2 kutoka Posta - NMC - Mandela

Kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijima akiwaelezea umuhimu wa barabara kwa maendeleo ya Manispaa na Taifa wakati akizindua mradi wa ujenzi wa barabara kiwango cha Lami Km 2 kutoka Posta - NMC - Mandela

Comments