Mkuu Mpya wa Wilaya ya Sumbawanga akabidhiwa Ofisi rasmi

Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Wilaya ya Sumbawanga Mh. Mathew Sedoyyeka akimkabidhi taarifa na makabrasha ya ofisi kwa ishar ya Kumkabidhi Rasmi ofisi Mkuu mpya wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Wilaya ya Sumbawanga Mh. Mathew Sedoyyeka
 
Mkuu mpya wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akitoa neno la shukrani pamoja na Kwaomba watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga pamoja na Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kumpa Ushirikiano.
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Wilaya ya Sumbawanga Mh. Mathew Sedoyyeka akisaini nakala ya kumkabidhi ofisi Mkuu Mpya wa Wilaya Sumbawanga
 
Mwanansheria wa Manispaa ya Sumbwanga Tula Mwenda akisoma maelezo yaliyomo kwenye nakala za kukabidhiana ofisi kutoka wa Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mh. Mathew Sedoyyeka kwenda kwa Mkuu wa Wilaya Mpya Dk. Halfan Haule
 
 
Baadhi ya Wakuu wa Idara na watumishi wa Manispaa ya Sumbawanga waliohudhuria katika hafla ya Makabidhiano ya Ofisi ya mkuu wa Wilaya katika Ukumbi mkubwa wa mikutano wa Manispaa ya Sumbawanga.
 
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Sumbawanga Mh. Justin Malisawe (aliyesimama) akitoa mawili matatu.
 
Baadhi ya Wakuu wa Idara na watumishi wa Manispaa ya Sumbawanga waliohudhuria katika hafla ya Makabidhiano ya Ofisi ya mkuu wa Wilaya katika Ukumbi mkubwa wa mikutano wa Manispaa ya Sumbawanga.
 

Comments