Maabara ya Kisasa Shule ya Sekondari Kichema

Kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijimana timu aliyoongozana nayo wakisubiri majaribio ya Experiment yaliyofanywa na Mwananfunzi Emily Paschal katika maabara ya kisasa iligharimu shilingi Milioni 79.9.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijima baada ya kufunua kitambaa cha jiwe la msingi  ishara ya kuifungua maabara ya Kisasa ya Shule ya Sekondari Kichema


Kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijima akikata utepe ishara ya kuifungua rasmi maabara ya Kisasa ya Shule ya Sekondari Kichema


maabara ya kisasa kwa wananfunzi wa Shule a Sekondari Kichema.


Mwanafunzi Emily Paschal akielezea namna maabara hiyo inavyowafaidisha mbele a Kiongozi wa Mbio za Mwenge George Mbijima na Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule pindi mwenge ulipotembelea kuzindua maabara ya kisasa kwa wananfunzi wa Shule a Sekondari Kichema.

Comments