![]() | ||
| Afisa Afya, Bwana Temba (kulia) na Afisa Mazingira,(kushoto) Aligawesa Mulokozi wakiwapa zawadi watoto waliocheza vizuri kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. |
![]() |
| Kikundi cha ngoma kijiji cha Ulinji kikiendelea na Burudani |
![]() |
| Kaimu RAS Mkoa wa Rukwa Ndg Kilonzo akiwa na Kaimu Mkurugenzi, Hamidu Masare katika sherehe ya siku ya Mazingira Duniani iliyofanyika kiwilaya katika kijiji cha Ulinji, kata ya Mollo, Sumbawanga. |
![]() |
| Kikundi cha Ngoma kikiendelea na Burudani |
![]() |
| Wananchi wakisikiliza ujumbe wa siku ya Mazingira Duniani kutoka kwa mwezeshaji |
![]() |
| Mgeni rasmi, Naibu Meya wa Manispaa ya Sumbawanga, Mh. Anthony Choma akiwa na mwenyeji wake Diwani wa Kata ya Mollo Mh. Thomas Daniel wakielekezana jambo. |
![]() |
| Eng. Kazoya Mongateko akiwapa mikono meza kuu baada ya kusoma risala |
![]() |
| Wananchi na viongozi mbalimbali wakimsikiliza Mgeni rasmi Naibu Meya, Mh. Anthony Choma |
![]() |
| Mh. Thomas Daniel Diwani wa kata ya Mollo akitoa neno la Shukrani |
![]() |
| Bango la kutunza miti |












Comments
Post a Comment