Mradi wa Benki ya Dunia katika Manispaa ya Sumbawanga

Ramani ya miradi ya Barabara Mannispaa ya Sumbawanga, Barabara zilizo na rangi ya Bluu ndizo zitakazowekwa Lami





Mwnasheria wa Manispaa, Herbert Mbise akijibu swali la kisheria katika kutoa elimu ya miradi ya benki ya Dunia

Mh. Norbet Yamsebo Diwani wa Kata ya Chanji, Sumbawanga akiwasisitiza wanachi kuwa na mazoea ya kushiriki kwenye Mikutano ya maendeleo ili waweze kupata taarifa na elimu ya mustakabali wa kuboresha maisha.

Afisa Malalamiko wa Manispaa ya Sumbawanga, Elibariki akifafanua dhana ya kuwasilisha malalamiko katika ngazi za kiserikali

Mhandisi wa Manispaa ya Sumbawanga, Sara Mazwile, akielezea maeneo ambayo miradi itapita

Wananchi wa Kata ya Chanji na mitaa yake wakiwasikiliza wataalamu wa Manispaa ya Sumbawanga wakitoa elimu
Mthamini wa Manispaa ya Sumbawanga, Amani Magogwa akifafanua swali la fidia kwa wale Nyumba zao zitakazopitiwa na miradi akisindikizwa na Mwanasheria wa Manispaa, Herbert Mbise - Kata ya Chanji

Chanji


Katandala


Majengo



Comments