Milioni 41 zahitajika kufanya chaguzi ndogo za serikali za mitaa - Sumbawanga

  41,000,625 zahitajika ili kukamilisha zoezi la uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji, katika maeneo ya Mawenzusi, Malonje, Mollo, Kasense, Momoka, Kizwite, Mafulala, Izia, Lwiche, Katandala, Jangwani, Mbizi A, na Chanji.

Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, Hamid Njovu katika taarifa yake aliyoitoa katika kikao cha baraza la Madiwani, ukumbi wa manispaa.

Comments