Mei Mosi,2016 - Rukwa

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga ndg. Hamidu Massare 

Watumishi wa Manispaa ya Sumbawanga wakimsikiliza Afisa Utumishi ndg. Amani

Watumishi wa Manispaa ya Sumbawanga wakitaka kuanza maandamano.

Watu wa mazingira REYO wakionesha mabango yao

Wahudumu wa Hospitali ya Mkoa-Rukwa wakionesha namna wanavyotoa huduma

Wananchi wakishangaa gari la zima moto linavyomwaga maji kwenye maonesho

Kikundi cha ngoma asili cha Matai kikionesha umahiri wao mbele ya mgeni rasmi

Mgeni Rasmi Mkuu wa wilaya ya Kalambo-Rukwa Mh. William Mbonile

Katibu wa TUCTA mkoa-Rukwa ndg. Amos Kabombwe akisoma Risala




Comments