Matukio mbalimbali katika baraza la Madiwani Manispaa ya Sumbawanga

Mstahiki Meya Mh. Justin Malisawa  na Naibu wake Mh. Anthony Choma wakifuatilia taarifa mbalimbali za maendeleo

Waheshimiwa Madiwani wakisikiliza taarifa ya Mipango miji ya  Manispaa

Diwani wa Kata ya Mazwi Mh. Juma S. Musa akiwasilisha taarifa ya kamati ya mipango Miji.

Mh. Pascal Silwimba diwani wa kata ya Izia akiwa na Mh. Vitalis Ulaya, diwani wa kata ya Msua wakisiliza kwa makini taarifa za kamati mbalimbali za madiwani.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga ndg. Hamid Njovu akitoa ufafanuzi wa suala la kupitishwa kwa bajeti ya Manispaa, mwezi Februari,2016 kwa mwaka 2016/2017

Mh. Vitalis Ulaya, diwani wa kata ya Msua, akitaka ufafanuzi wa mapato na matumizi ya manispaa ya Sumbawanga

Waheshimiwa madiwani wakiendelea na kikao

Mchumi wa Manispaa ya Sumbawanga ndg. Saad Mtambule akitoa taarifa ya miradi mbalimbali ya Manispaa ya Sumbawanga.

Mtahiki Meya wa Manispaa ya Sumbawanga Mh. Justin Malisawa. akifunga mafunzo ya Usimamizi wa fedha kwa madiwani.

Wataalamu wa idara mbalimbali wa Manispaa ya Sumbawanga wakiendela kusikiliza taarifa za kamati za madiwani.

Comments